Mods nipigeni BAN kwani mshahara hujapanda?? Hahaa hii serikali imelisahau hili kundi la wafanyakazi
Acha tuumie dadeki iko siku mambo yatakua sawa
Ila wahusika kumbukeni mliahidi kuwa mtawaboreshea maslahi watumishi
Au ni mpaka 2020 wiki mbili kabla ya octoba 25?