Mishahara kutolewa kwa mafungu mafungu

Mishahara kutolewa kwa mafungu mafungu

Wewe ni muongo.
Nani alipata mshahara tarehe tano kipindi cha JK?
Awamu ya mshamba kutoka Chato haisafishiki.
Japo simpendi magu ila nakupinga kipindi cha jk kulikua na miyeyusho nilikua naona wife mara kibao analalamika muamala haujasoma tarehe husika. Na kipindi cha jiwe sikusikia hali hiyo japo sometime inaweza ikawa system tu imezingua.
 
Back
Top Bottom