DOKEZO Mishahara kwa watumishi wa Umma Novemba 2024: Kwanini Serikali haikulipa mishahara kwa baadhi ya watumishi hadi leo?

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Huna jibu lolote. Ngoma ishasoma saa 8 na sasa nipo nakunywa ulanzi.

We endelea kukata mauno ukiimba CCM mbele kwa mbele. [emoji3][emoji3]
Hongera mkuu.
Namini na mleta mada kashapata.
Jf ni dude kubwa.
 
Kura yako ina thamani, Kuwa Sehemu ya Mabadiliko unayoyataka, hakikisha unapiga kura tarehe 27.11.2024 kumchagua kiongozi unayemtaka kwenye Kijiji,Kitongoji au mtaa wako.
 
Kenge mmoja wewe, hufai hata kua mtumishi wa serikali. Leo tarehe 25 umeanza kubweka bweka kabla hata hujauliza huko kazini kwako. Nyie wa vyeti feki ndio mnarudisha hili Taifa nyuma.
πŸ˜„πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜† kuwa na siku njema mkuu.
 
Siyo pepmiss hiyo, mimi imenikumba kwenye upandaji wa daraja, ilitakiwa nipande mwezi wa sita mwaka huu lakini wapi, ishu ni pepmiss nimeambiwa nisubiri hadi mwakani.
 
Mtakuwa na matatizo kwenye mfumo pepmis mkiambiwa mnakuwa busy acha ile kwenu humu mtapata msaada gani.
 
Siyo pepmiss hiyo, mimi imenikumba kwenye upandaji wa daraja, ilitakiwa nipande mwezi wa sita mwaka huu lakini wapi, ishu ni pepmiss nimeambiwa nisubiri hadi mwakani.
Pepmis inawanyoosha sana mtu analalamika JF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…