Mangi Meno
JF-Expert Member
- Jun 26, 2024
- 292
- 895
We hata kuandika huwezi utakuwa unaweza nini? Maamuma we. Baada ya jamaa kupandisha uzi. Tayari mzigo umeshasoma.Uliza mwajiri wakooo
Hii ndio nguvu ya JF.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We hata kuandika huwezi utakuwa unaweza nini? Maamuma we. Baada ya jamaa kupandisha uzi. Tayari mzigo umeshasoma.Uliza mwajiri wakooo
Hongera mkuu.Huna jibu lolote. Ngoma ishasoma saa 8 na sasa nipo nakunywa ulanzi.
We endelea kukata mauno ukiimba CCM mbele kwa mbele. [emoji3][emoji3]
😄🤣😂😆 kuwa na siku njema mkuu.Kenge mmoja wewe, hufai hata kua mtumishi wa serikali. Leo tarehe 25 umeanza kubweka bweka kabla hata hujauliza huko kazini kwako. Nyie wa vyeti feki ndio mnarudisha hili Taifa nyuma.
Mtakuwa na matatizo kwenye mfumo pepmis mkiambiwa mnakuwa busy acha ile kwenu humu mtapata msaada gani.Moderators naomba msifuze au kuunganisha huu uzi.
Naamini JF ni Platform kubwa na hata Rais wa nchi na viongozi wengine wanapitia humu.
Naanza kwa kudeclare interest binafsi ni Mtumishi wa umma na mshahara ni haki yangu kama ninavyotimiza wajibu wangu. Nyie matajiri na mabilionea wa JF msiohitaji mshahara uacheni huu uzi na endeleeni na nyuzi zenu nyingine.
Kwa kawaida kuanzia tarehe 23 hadi 25 serikali hulipa mishahara watumishi wake. Kwa mwezi huu wa Novemba 2024, Serikali imelipa mishahara siku ya Ijumaa kwa watumishi wake na kwa wale wastaafu wanaopokea fedha zao.
Cha kusikizisha kuna baadhi ya watumishi wa umma nikiwepo mimi Binafsi sijapokea mshahara wangu. Sijajua changamoto ni nini. Watumishi wengi toka kada mbalimbali katika sekta ya umma kuanzia kwenye taasisi za umma, Mamlaka na bodi mbalimbali za serikali hadi kwenye Mamlaka za serikali za mitaa na mahospitalini hawajapokea mishahara hadi sasa na hakuna tamko wala maelekezo yanayoonesha shida nini. Pia hata baadhi ya wastaafu nao hawajapokea stahiki zao za kila mwezi.
Tafadhali tunaitaka serikali itoe tamko katika hilo kwani kama tulivyotimiza wajibu wetu kwa mwezi mzima, tunatakiwa tulipwe haki zetu.
Nawasilisha.
Pepmis inawanyoosha sana mtu analalamika JFSiyo pepmiss hiyo, mimi imenikumba kwenye upandaji wa daraja, ilitakiwa nipande mwezi wa sita mwaka huu lakini wapi, ishu ni pepmiss nimeambiwa nisubiri hadi mwakani.