Mishahara mipya ya walimu

mtamanyali

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2011
Posts
1,161
Reaction score
613
Wadau poleni na kazi, naomba mnihabarishe kuhusu mishahara mipya wa walimu itaongezeka kiasi gani kwa ngazi mbalimbali mf shahada kuna ndugu yangu mwalimu yupo huko kijijini ananisumbua sana nikaona wadau mnaweza kunisaidia kwa hilo. Naomba kuwasilisha.
 
kama yupo sirikali ujue yy ni mtumishi wa umma so asubiri ghasia atakapo jimwaga siku ya hotuba yake
sent via samsung galaxy S4
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…