mtamanyali
JF-Expert Member
- Dec 6, 2011
- 1,161
- 613
Wadau poleni na kazi, naomba mnihabarishe kuhusu mishahara mipya wa walimu itaongezeka kiasi gani kwa ngazi mbalimbali mf shahada kuna ndugu yangu mwalimu yupo huko kijijini ananisumbua sana nikaona wadau mnaweza kunisaidia kwa hilo. Naomba kuwasilisha.