Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chondechonde waalimu msijewaacha matoto wetu pekeyao,subirini serikali ikusanye kodi kila mahali kabda mtakumbukwa,,wameanza kwenye line za simu,
![]()
mkuu kunakaukweli nini?mana huku kitaa walimu wanasubidi kupandishwa mishahara kwa asilimia 80Tanzania ni nchi isojali walimu, pay roll zimetoka tayari na ni kama ifuatavyo
Certfct TGTS B-304000
Diplm TGTS C-432500
Degree TGTS D-589000
TGTS E-769000
walimu hawanaga mishahara bali ni posho ya mweziWalimu jamani, mbona wanadhalilishwa hivi, kwani wafanyakazi wengine wa serikali hawahusiki na nyongeza za mishahara. Tusiwaandame walimu jamani as if ndio wenye mishahara kuliko wafanyakazi wengine!
Toa kitu full mkuu; tupange bajetiTanzania ni nchi isojali walimu, pay roll zimetoka tayari na ni kama ifuatavyo
Certfct TGTS B-304000
Diplm TGTS C-432500
Degree TGTS D-589000
TGTS E-769000
TGTS A1 296,000
TGTS B1 344.000
TGTS C1 432,500
TGTS D1 589,000
TGTS E1 769,000
TGTS F1 1,003,000
TGTS G1 1,320,000
TGTS H1 1,734,000
TGTS I1 2,415,000 hii ndio mishara mipya