mishahara mipya!

gedo

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2012
Posts
314
Reaction score
53
naomba kuuliza hivi mwalimu wadegree yaualimu anaanza namshara washilingi ngapi?naomba anayejua anisaidie nasio kukejeliana nakutukanana kama hujui bora ukae kimya!
 
naomba kuuliza hivi mwalimu wadegree yaualimu anaanza namshara washilingi ngapi?naomba anayejua anisaidie nasio kukejeliana nakutukanana kama hujui bora ukae kimya!

mishahara ni siri ww hujackia gazeti limefungiwa kwa kutaja mishahara ya watu? au unataka jamiiforums ipewe ban!
 
Kwa wale wasiojua ngazi ya mshahara ya B ni ya mwenye cheti (certificate), C= Diploma, D= Degree)
WALIMU
TGTS B1= 344,000/=
TGTS C1= 432,500/=
TGTS D1= 589,000/=
TGTS E= 769,000/=
TGTS F= 1,003,000/=
TGTS G= 1,320,000/=
Wakati kwa kada ya KILIMO mambo ni mazuri kabisa kama ifuatavyo
B= 1,060,000/=
C=1,252,000/=
D= 1,473,000/=
E=1,736,000/=
 
Mkuu certificate sio 296,000/-
 
E,F na G ndio ngazi gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…