Mishahara Serikali kuu na TAMISEMI

Mishahara Serikali kuu na TAMISEMI

NAUNGA MKONO HOJA.KWAMBA SERIKALI YA MAGUFULI IREKEBISHE HII TOFAUTI YA MISHAHARA ISIPISHANE SANA.KAMA ALIVYOPUNGUZA MISHAHARA YA MABOSI WA HAYO MASHIRIKA YA UMA KUTOKA MIL 40 KWA MWEZI MPAKA MIL 15.KADHALIKA AFANYE BALANCING YA MISHAHARA KWA HAO MAOFISA WENGINE WA CHINI YAO.MISHAHARA KWENYE MASHIRIKA YA UMA NA TAASISI ZOTE NYINGINE ZA SERIKALI ISIPISHANE SANA.

Sent from my SM-G313H using JamiiForums mobile app
 
Mkuu, Naomba kujua Magu alipunguza mshahara wa nani kwa mfano?
 
Wakati serikali iko katika mchakato wa uhakiki pamoja na maboresho ya mishahara kwa watumishi wa umma ningependa kuchangia kidogo juu ya haya makundi mawili tajwa ya watumishi wa umma.

Nianze tu kwa kusema hapa duniani hakuna mshahara unaotosha na ndio maana watumishi wanajiongeza kwa kufanya shughuli mbali mbali ili maisha yaende na mkono uende kinywani lakini katika makundi haya mawili ya watumishi mishahara yao ni midogo sana kulinganisha na wenzao wa taasisi na mashirika ya umma.

Mfano mdogo tu chukulia watumishi wenye elimu sawa ya shahada ya sheria na linganisha kati ya mwanasheria wa halmashauri na mwanasheria wa taasisi kama TPDC, TANROAD au mifuko ya hifadhi unaweza kuona hawa wengine wanamzidi mshahara mwenzao wa halmashauri kwa zaidi ya 200% ingawa wote walisoma miaka 4.

Hii ilitokana na hizi taasisi kuwa na loophole ya kujipangia mishahara kitu ambacho ni tofauti kwa watumishi wa serikali kuu na tamisemi hii inapelekea kuwa na tabaka kati ya watumishi na pia watumishi kuhama kwenda kufuata malipo mazuri kwenye taasisi mbalimbali.

sio kitu cha kushangaza kumwona afisa utumishi au muhasibu wa halmashauri kapanga foleni akisubiri interview ya kazi kwenye mifuko ya hifadhi au taasisi za umma. Na pia sio kitu cha kushangaza kuona daktari aliyesoma kwa miaka 5 na intership 1 jumla 6 kuzidiwa mshahara na katibu mukhtasi/secretary mwenye diploma ya miaka 2 anayefanyia kwenye taasisi X ya umma.

Wito wangu kwa serikali kusiwe na tofauti kubwa sana ya malipo kati watumishi wa serikali kuu, tamisemi na taasisi za umma.

Sisi wote ni watoto wa baba mmoja na kazi yetu ni kuwatumikia watanzania nawote tunazalisha kwa namna tofauti.

Nawasilisha.
Ni moja kati ya mambo ya kipuuzi yaliyofanywa na tawala zilizotangulia, hasa wakati wa mkapa.
 
Ninakuunga mkono 100% kwani ni kweli kabisa nimewahi kuwa HR kwenye taasisi za umma unakuta mtu ana certicicate ya records mfano tu analipwa laki saba huyu alishindwa kuendelea na masomo ya juu kulingana na ukweli kwamba alikuwa na ufaulu haba. Lakini kuna watu wana digrii kama walimu ambao wengi wao walifaulu vizuri tu na ameajiriwa km mwalimu analipwa laki tano bila kujali sababu yeyote huu ni uonevu wa dhahiri kabisa. Ukizingatia ukweli kwamba mishahara yote inatoka Hazina 100%. Japo kwa taasis zinazozalisha hii naweza kuwa na maono tofauti. Hawa watumishi wote nanatuhudumia watanzania kwa hivyo waangaliwe kulingana na sifa walizonazo.
Chakufanya: 1. Watumishi wa tamisemi na serikali kuu wapate nyongeza kubwa ili tuweze kubalance
2. Wale wa taasisi nyongeza wapate ila iwe kidogo baada ya muda km miaka miwili au mitatu watabalance.
 
Nyie acheni ku a watu wanadiploma mashirika ya umma wanalipwa 2.2mil kwa mwezi. Ila serikali kuu watu wana masters wanakula 800k
 
Uhakiki? Unqamini kina uhakiki na kwamba lengo la serikali ni kuleta mabadiliko? Hasha hamna. Lengo ni kuzuga siku ziende.

Kumbuka kwa mara myingine tena hakuna nyongeza ya mshahara ya mwezi july mwaka huu. Na hata madeni wanaposema wanalipa ni blahblah! Eti imetengwa milio 600!
 
Namba za kirumi zikisha usha somwa tunaomba tuletewe za kichina somo litaeleweka! Make mada yako n nzr lkn hakuna wa kumsikiliza Kwana anaowaongoza kasha waona mazuzu!
 
Back
Top Bottom