Sildenafil Citrate
JF-Expert Member
- Jan 29, 2021
- 577
- 2,595
Baadhi ya nchi duniani huwa na taratibu za kuweka wazi mishahara ya viongozi wakuu pamoja na wale wanaoongoza mihimili mingine ili wananchi wao waifahamu.
Hii ni sehemu ya kuonesha uwazi na uwajibikaji wa Umma kwa kuwa mamlaka yao hutoka huko.
Mfano, Rais wa Nchi ya Kenya hulipwa kiasi cha pesa kinacho kadiliwa kufikia Tsh 27.9 M , Naibu wa Rais Tsh 23.7 M na Waziri akipokea kiasi cha Tsh 17.9 M.
Spika wa bunge hupokea takribani Tsh 22.4 M, Naibu Spika Tsh 17.9 M, Viongozi wa Kambi Tsh 14.8 M na Wabunge Tsh 13.7 M.
Kwanini baadhi ya nchi ikiwemo Tanzania huwa haziweki wazi mishahara ya viongozi wao wakuu?
Nini maoni yako?