Sildenafil Citrate
JF-Expert Member
- Jan 29, 2021
- 577
- 2,595
Mwizi hawezi kukuonesha kuwa amekuibia, simple as thatKwanini baadhi ya nchi ikiwemo Tanzania huwa haziweki wazi mishahara ya viongozi wao wakuu?
Nini maoni yako?
Wanakwiba Uchaguzi ,wanakwiba na pesa.Majizi,majambawazi akina Mpwayungu village na SanzaMwizi hawezi kukuonesha kuwa amekuibia, simple as that
hawa ni akina nani maana wanaandika sana humu. Anyway JF rulkes haziruhusu identity ya mtuMpwayungu village na Sanz