Mishahara wizarani

Ninavyojua mshahara ni siri ya mwajiri na mwajiriwa ila kila kada ina viwango vyake
 
Mishahara si ina scale? Badala ya kuuliza mshahara ungeuliza marupurupu na hapo ndo watu tunaachana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…