Mishahara wizarani

Mishahara wizarani

Naomba kazi za ulinzi hapo nimehitimu mafunzo ya awali ya kijeshi JKT Elimu kidato cha sita PGM pia nafanya Kazi za CCTV Installation.
 
Mshahara wa mtumishi aina ipi hapo Wizarani? Mlinzi? Secretary? HR? n k
Mkuu naweza kupata Kazi ya ulinzi hapo nmehitimu mafunzo ya awali ya kijeshi JKT Elimu kidato Cha sita PGM maana kwenye makampuni haya wanalipa hela ndogo mno yani mpaka aibu ila hakuna namna tunafanya tu.
 
Back
Top Bottom