Mishahara ya kupokea tarehe 8/8 (nanenane) je, inalipwa tarehe hiohio au inasogezwa mbele?

Zongh

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2023
Posts
1,019
Reaction score
1,018
Habari za majukumu na heri ya sikukuu ya wakulima
ya nanenane wakuu.

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,kila taasisi,shirika na kampuni mbalimbali huwa na tarehe maalumu ya kuwalipa wafanyakazi wake.

Je kwa wale ambao tarehe yao ya mshahara ina angukia tarehe nane(8),maana yake kwa mwezi wa nane tarehe ina angukia kwenye nanenane(08/08),
je watapewa mishahara yao tarehe 08/08 au tarehe itasogezwa mbele maana hii siku taasisi zinaazimisha sikukuu ya wakulima na wafanyakazi hawaingii kazini akiwemo HR au muhusika wa kulipa mishahara,au hili mnalizungumziaje wakuu???.
 
Mkuu jumatatu si mbali watake wasitake watakulipa tu!
 
Dahh inaumiza kweli,mda huo mtu ushajipanga kuweka sawa mambo halafu unaona kimya 😂😂😂

Ndipo umuhimu wa akiba ulipo. Wanasema akiba haiozi. Au nasema uongo?
 
Habari za majukumu na heri ya sikukuu ya wakulima
ya nanenane wakuu.

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,kila taasisi,shirika na kampuni mbalimbali huwa na tarehe maalumu ya kuwalipa wafanyakazi wake.

Je kwa wale ambao tarehe yao ya mshahara ina angukia tarehe nane(8),maana yake kwa mwezi wa nane tarehe ina angukia kwenye nanenane(08/08),
je watapewa mishahara yao tarehe 08/08 au tarehe itasogezwa mbele maana hii siku taasisi zinaazimisha sikukuu ya wakulima na wafanyakazi hawaingii kazini akiwemo HR au muhusika wa kulipa mishahara,au hili mnalizungumziaje wakuu???.
Mishahara hupitia benki na benki kuna mashine za kutoa hela, kwani tarehe huangukia siku hiyohiyo kila mwezi? Acha kutuchosha.
 
Kuna taasisi mshahara ni tarehe nane ya kila mwezi constant mkuu,,haf kwa taasisi binafsi lazima awepo muhusika wa kulipa mishahara,na ndio maana nikauliza kwa siku kama ya leo inakuaje?? Maana hata muhusika wa kulipa mishahara anakuwa likizo ya nanenane
 
Back
Top Bottom