N nguvu ya buku Senior Member Joined Jul 15, 2025 Posts 168 Reaction score 549 Jul 22, 2025 #1 Najua ni kazi ya wito zaidi na mishahara haiwezi kufikia ya wenzao wa vyuo vya serikali ila ningependa kujua estimation / Makadirio Vyuo vya makanisa ni kama Saut Tumaini Mwecau Teku CuoM Ruaha Jordan Askofu Mihayo Stella Maris
Najua ni kazi ya wito zaidi na mishahara haiwezi kufikia ya wenzao wa vyuo vya serikali ila ningependa kujua estimation / Makadirio Vyuo vya makanisa ni kama Saut Tumaini Mwecau Teku CuoM Ruaha Jordan Askofu Mihayo Stella Maris
Beira Boy JF-Expert Member Joined Aug 7, 2016 Posts 25,050 Reaction score 45,202 Jul 22, 2025 #2 Bugando
hip hop uchwara JF-Expert Member Joined Jan 13, 2023 Posts 6,853 Reaction score 4,552 Aug 11, 2025 #3 .
Nelly JF-Expert Member Joined Jan 25, 2020 Posts 6,610 Reaction score 13,270 Aug 11, 2025 #4 una ndoto au malengo ya kufanya hiyo kazi?
solow swan Member Joined Jul 18, 2023 Posts 32 Reaction score 38 Aug 11, 2025 #5 Gross salary start 2m kwenda juu