Ndugu zangu, NGO nyingi zinazojishughulisha na ukimwi au kilimo ambazo zinpata fund kutoka USIAD hivi karibuni zimekuwa zinatangaza kazi za aina ifuatayo:Agriculture specialists,livelihood specialist,economic developemnt specialist, M&E specialist etc. Mashirika yenyewe ni kama ACDIA/VOCA,DAI,AFRICARE,NK. Jamani ningependa kujua range ya mishahara kwa post za aina hiyo ili mtu ukiitwa interview na kunegotiate base tutumie njia ambayo ni bora katika kunegotiate.
Asanteni waungwana