Mishahara ya livelihood specialists,economic specialists ETC under USAID agency

Mishahara ya livelihood specialists,economic specialists ETC under USAID agency

Kimla

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2008
Posts
3,810
Reaction score
6,599
Ndugu zangu, NGO nyingi zinazojishughulisha na ukimwi au kilimo ambazo zinpata fund kutoka USIAD hivi karibuni zimekuwa zinatangaza kazi za aina ifuatayo:Agriculture specialists,livelihood specialist,economic developemnt specialist, M&E specialist etc. Mashirika yenyewe ni kama ACDIA/VOCA,DAI,AFRICARE,NK. Jamani ningependa kujua range ya mishahara kwa post za aina hiyo ili mtu ukiitwa interview na kunegotiate base tutumie njia ambayo ni bora katika kunegotiate.

Asanteni waungwana
 
Inaonekana watu wengi hawana taarifa za mambo ya maslahi katika kazi mbalimbali
 
Jamani wenye taarifa ya range ya mishahara tupeane taarifa
 
ipo kama around 1.2m mpk 1.8m hv,pia inategemea na mshahara wako wa sasa
 
ipo kama around 1.2m mpk 1.8m hv,pia inategemea na mshahara wako wa sasa

Yaani agency zinapata fund kubwa USAID halafu wanalipa kidogo hivyo wakati titles zenyewe ni specialists.Au kuna marupurupu mengine
 
Back
Top Bottom