Mishahara ya mwezi wa nne ambayo ingelipa waalimu wapya

stanb

Senior Member
Joined
Feb 19, 2014
Posts
153
Reaction score
19
Ni ukweli kuwa fedha zilishakuwa kwenye bajeti, je waalimu wapya wakipangiwa kuanza kazi mwezi wa tano fedha za kulipa mwez wa nne zinaenda wapi wakati teyari ziko kwenye bajeti?
 
Duuh!! Yan maswali kama haya yangeanzia kwenye EPA, KAGODA, ESCROW n.k mbona hili lingezuilika kirahisi sana though hata hizo ajira hazijulikani kama zipo kwel au la!!
 
Kwanza mtoa mada unatakiwa kujua mfumo wa bajeti wa nchi yenu ni upi, bajeti yetu hutegemea makusanyo na siyo kwamba kuna fedha zimekaa mahala zinasubiri shughuli!

Kupanga ni jambo moja, kukusanya ni jambo jingine na kutenga ni jambo jipya hivyo yaweza kupangwa na ikakusanywa lakini isitengwe kwa shughuli husika!

Ndiyo sababu kuna miradi ipo kwenye vitabu vya bajeti miaka 10 iliyopita haijatejelezwa mpaka kesho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…