Kwanza mtoa mada unatakiwa kujua mfumo wa bajeti wa nchi yenu ni upi, bajeti yetu hutegemea makusanyo na siyo kwamba kuna fedha zimekaa mahala zinasubiri shughuli!
Kupanga ni jambo moja, kukusanya ni jambo jingine na kutenga ni jambo jipya hivyo yaweza kupangwa na ikakusanywa lakini isitengwe kwa shughuli husika!
Ndiyo sababu kuna miradi ipo kwenye vitabu vya bajeti miaka 10 iliyopita haijatejelezwa mpaka kesho