Mishahara ya Non teaching staff vyuo vikuu ikoje?

Mishahara ya Non teaching staff vyuo vikuu ikoje?

Vyuo vikuu vya serikali kuna ngazi kadhaa za mishahara kama PGSS, PUSS na PUS mara nyingi PGSS sina uhakika ni kiasi gani, ila wanalipwa wale wafanyalazi wa hospitali nadhani na hawa Maafisa wengine kama ulowataja, PUSS ni kwa technical staff sana ambayo inaanza na zaidi ya 1.4m na hii PUS ni watumishi wengine kada na vitengo vingine mbali na administrative na technical staff.
 
Uliza acha ligi, nina kaka angu kaajiliwa mwaka juzi ni lecturer pale institute of social work kipo sinza bamaga analipwa million 5 na laki saba, take home ni million nne na laki tisa
Salary slip yake umewahi kuiona au alikuhadithia tu?
 
Ukiwa na Masters kwa UDSM wewe ni assistant lecturer
Vyuo vikuu vya serikali kuna ngazi kadhaa za mishahara kama PGSS, PUSS na PUS mara nyingi PGSS sina uhakika ni kiasi gani, ila wanalipwa wale wafanyalazi wa hospitali nadhani na hawa Maafisa wengine kama ulowataja, PUSS ni kwa technical staff sana ambayo inaanza na zaidi ya 1.4m na hii PUS ni watumishi wengine kada na vitengo vingine mbali na administrative na technical staff.
Technical staff ni kama vile Laboratory technician?
 
Examination na Admision officer II ...PGSS 6...Tshs 1,170,000/=


IT, Engineers, Architect, Qs, lawyers..... PGSS 7 ....Tshs 1,355,000/=

So kwa degree holder ni scale hizo mbili, zile degree za miaka mitatu nyingi scale zao ni pgss 6 na zile za miaka 4+ ni pgss 7

ACADEMICIAN

Tutorial assistant(Degree) 1,770,000/=

Assistant Lecturer (masters) 2,545,000/=

Lecturer (PHD) 3,800,000/=

Senior Lecturer(PHD &publications) -4,800,000/=

Associate professor...sikumbuki

professor 6,000,000/=

Hizo ndio data nazozijua ila kama kuna anayejua zaid atanirekebisha nilipokosea.

Faida na hasara kati ya non-academic vs Academic staff

Academic staff pamoja na kwamba hawapat sana hela nje ya mshahara ila wao wanakwenda Kazin muda wa kipindi tuu kama hana kipindi anaweza kuwa na muda wa kufanya mambo yake mtaani (hii inategemea idadi ya masomo) tofaut na non-academic lazima uwepo kazin 7.30 mpaka 10 kasoro bila kujali ofisin kuna kazi au hakuna.

Kifedha ukiwa na degree tuu ni bora ukawa non-academic kuliko kuwa tutorial assistant

Ukiwa na angalau masters hapo academic fresh maana take home yako ni ndefu
 
[emoji1787]Boko limeungua, turudi kwenye mada, Admission officer mfano open University ana ngapi ?
University(Udsm, udom, MUST, Mzumbe) wote wana harmonized scheme of service, mishahara ni mmoja, ila vyuo kama IFM au CBE au DIT, TIA hao wana scheme yao tofauti...Admission officer wanalipwa PGSS 6... Tshs 1,1770,000
 
Wizy unataka kujua umate umate sio ,,,[emoji3][emoji3] ..pambana kuingia kweny mrija wa asali ,mbele kwa mbele huko ndio itajulikana
😂😂😂😂hahhhhh mwaka huu Uhakika ndo maana naulizi nianze kupiga hesabu za kununua Subaru na kuwapa lift watoto wakaliiii hahhhh
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hahhhhh mwaka huu Uhakika ndo maana naulizi nianze kupiga hesabu za kununua Subaru na kuwapa lift watoto wakaliiii hahhhh
Kuna moja yyote ya TA umeshafanya ??au tumefanya za taalumaa zetu tu za TGS E au D ?[emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom