ningependa kujua kama kuna mtu yeyote mwenye data juu ya misharaha ya NSSF na allowances zake! Natanguliza shukrani!
is that ur real opinion?
jamani mimi nafikiri kuwa tulete hoja za msingi maana tukianza kuulizia mishahara ya watu hapa, tutakuwa tunafanya kitu ambacho sio lengo la wavuti hii tukufu.
\tulete issue za msingi jamani kwa ajili ya kuikomboa na kuijenga tanzania yetu
umeshapewa jibu hapo wacha kurusha ngumi hewaniHii ni mishahara ni ya wafanyakazi wa umma! Mbona mnajua ya waalimu na manesi...alafu ya wakubwa mnaleta longolongo. Toeni ujinga. This is a public matter! Mshahara wa a public servant should never be a secret! Mnavyofanya siri ndo mnaleta ufisadi. How do we hold them accountable kama hata hatujui mishahara yao? Tutajuaje kuwa wanatuibia? Mbona mnakuwa shallow minded ivyo? Sisi hatutaki majina...i want to know how much a director gets, etc. Sitaki kujua majina yao!its that simple. Kama hujui...kaa kimya! Leo hii hamjui mshahara wa rais...mnaboa kweli!
Sio kama nimekukwaza ila Nilikuwa nakutaarifu kuwa ukijiunga utafaidi kwani pale Idara ya miliki(Estate department) wanaanzia Tshs.1,800,000/-hadi 3,500,000/-(university graduates),Special unit(wakusanya kodi za majengo) wanaanzia Tshs.1,200,000/-hadi 3,500,000/-(Diplomas-Degrees gradu),kitengo cha IT wanaanzia Tshs.1,500,000/- hadi 4,500,000/-n.k.
ningependa kujua kama kuna mtu yeyote mwenye data juu ya misharaha ya nssf na allowances zake! Natanguliza shukrani!