Mishahara ya NSSF

Mishahara ya NSSF

Chapakazi

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2009
Posts
2,874
Reaction score
316
ningependa kujua kama kuna mtu yeyote mwenye data juu ya misharaha ya NSSF na allowances zake! Natanguliza shukrani!
 
Nadhani anataka range which is not siri.
Ningekuwa najua ningekuambia
 
Nimepata sudden interest na hili shirika baada ya mtu wa huko kunigusia kwa mbali allowances zao. wandugu...kwa ufupi Ni HATARI!!Ndo maana nimependa kujua mishahara yao...ambayo sidhani kama ni siri maana ni public body!
 
Nawe jiunge ufaidi!Kwanini kupuliza vuvuzela tuuuu
 
jamani mimi nafikiri kuwa tulete hoja za msingi maana tukianza kuulizia mishahara ya watu hapa, tutakuwa tunafanya kitu ambacho sio lengo la wavuti hii tukufu.
\tulete issue za msingi jamani kwa ajili ya kuikomboa na kuijenga tanzania yetu
 
is that ur real opinion?

Sio kama nimekukwaza ila Nilikuwa nakutaarifu kuwa ukijiunga utafaidi kwani pale Idara ya miliki(Estate department) wanaanzia Tshs.1,800,000/-hadi 3,500,000/-(university graduates),Special unit(wakusanya kodi za majengo) wanaanzia Tshs.1,200,000/-hadi 3,500,000/-(Diplomas-Degrees gradu),kitengo cha IT wanaanzia Tshs.1,500,000/- hadi 4,500,000/-n.k.
 
jamani mimi nafikiri kuwa tulete hoja za msingi maana tukianza kuulizia mishahara ya watu hapa, tutakuwa tunafanya kitu ambacho sio lengo la wavuti hii tukufu.
\tulete issue za msingi jamani kwa ajili ya kuikomboa na kuijenga tanzania yetu

Hii ni mishahara ni ya wafanyakazi wa umma! Mbona mnajua ya waalimu na manesi...alafu ya wakubwa mnaleta longolongo. Toeni ujinga. This is a public matter! Mshahara wa a public servant should never be a secret! Mnavyofanya siri ndo mnaleta ufisadi. How do we hold them accountable kama hata hatujui mishahara yao? Tutajuaje kuwa wanatuibia? Mbona mnakuwa shallow minded ivyo? Sisi hatutaki majina...i want to know how much a director gets, etc. Sitaki kujua majina yao!its that simple. Kama hujui...kaa kimya! Leo hii hamjui mshahara wa rais..mnaboa kweli!
 
chapakazi, kama una interest na nssf nakushauri umcheki manji anaweza akakuunganishia kazi pale in a minute.... thy like him a lot!!:becky:
 
Mfano...angalia hapa utapata "executive schedule" ya marekani. hii inaonyesha mishahara ya Executives members marekani. Kwa hiyo ukisoma utaona:
Mtu kama Mama Clinton anapokea: $199,700. Hii ni level ya mawaziri na ma-directors mbalimbali. Unavyoshuka unapata ya wengine. This is all that am after. Mimi sitaki majina.

Executive Schedule - Wikipedia, the free encyclopedia
 
chapakazi, kama una interest na nssf nakushauri umcheki manji anaweza akakuunganishia kazi pale in a minute.... thy like him a lot!!:becky:

No man...just interested in a bit more openess.
 
Hii ni mishahara ni ya wafanyakazi wa umma! Mbona mnajua ya waalimu na manesi...alafu ya wakubwa mnaleta longolongo. Toeni ujinga. This is a public matter! Mshahara wa a public servant should never be a secret! Mnavyofanya siri ndo mnaleta ufisadi. How do we hold them accountable kama hata hatujui mishahara yao? Tutajuaje kuwa wanatuibia? Mbona mnakuwa shallow minded ivyo? Sisi hatutaki majina...i want to know how much a director gets, etc. Sitaki kujua majina yao!its that simple. Kama hujui...kaa kimya! Leo hii hamjui mshahara wa rais...mnaboa kweli!
umeshapewa jibu hapo wacha kurusha ngumi hewani

Sio kama nimekukwaza ila Nilikuwa nakutaarifu kuwa ukijiunga utafaidi kwani pale Idara ya miliki(Estate department) wanaanzia Tshs.1,800,000/-hadi 3,500,000/-(university graduates),Special unit(wakusanya kodi za majengo) wanaanzia Tshs.1,200,000/-hadi 3,500,000/-(Diplomas-Degrees gradu),kitengo cha IT wanaanzia Tshs.1,500,000/- hadi 4,500,000/-n.k.
 
ningependa kujua kama kuna mtu yeyote mwenye data juu ya misharaha ya nssf na allowances zake! Natanguliza shukrani!

unataka kuwaendea kwa babu nini anyway bagamoyoo awako active nwdays

ingia kisiwandui huko utakutana na wenye nchi
 
nashangaa kwanini mnamshambulia aliyeleta swali,hiyo ni public company na iko financed na walipa kodi na ni sawa na private company lazima kusema salary za CEOs kwa shareholders wake,sasa kwanini salary & allowances viwe siri? na sio ndio nyie mnashinda humu JF na vuvuzela zenu za kulia ufisadi,kesho mkiambiwa mkurugenzi analipwa allowance ya nyumba na gari inayozidi mishahara ya madaktri 100 combined naomba msilalamike na iendelee kuwa siri..mwenye jibu alete hapa na mjue mishahara & allowances sio siri na shareholders au public wana haki ya kujua kama wana interest na hilo shirika.
 
Back
Top Bottom