Mishahara ya Polisi Kenya yapanda!

Mishahara ya Polisi Kenya yapanda!

Ukiona polisi wanakirimiwa ujue Kuna kitu kibaya serikali inawafanyia wanànchi.
Ukiona walimu na madaktari wanaongezwa mishahara ujue serikali iliyo madarakani Ni serikali ya wanànchi. Mfano serikali ya Zambia ya Sasa.
 
Citizen TV??

Hii si ya Kenya na NPS ni Kenya hapa Tanzania ipo kweli?
Maana naona wakuu wanatiririka kana kwamba ni Tanzania

Waache, naona wameshindwa kuchanganya na zao. Wee unaona source: citizen tv, halafu unakomaa kuanza na kukomenti. Hawa ndiyo wale wanaoangukia kwa manabii kirahisi.
😛
 
Back
Top Bottom