Ukiona polisi wanakirimiwa ujue Kuna kitu kibaya serikali inawafanyia wanànchi.
Ukiona walimu na madaktari wanaongezwa mishahara ujue serikali iliyo madarakani Ni serikali ya wanànchi. Mfano serikali ya Zambia ya Sasa.
Waache, naona wameshindwa kuchanganya na zao. Wee unaona source: citizen tv, halafu unakomaa kuanza na kukomenti. Hawa ndiyo wale wanaoangukia kwa manabii kirahisi. 😛