Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu unaanzisha Kampuni yako, na wewe mwenyewe unakuwa CEO!!Mshahara wa Messi kwa wiki sawa na Sh. Bilioni 1.95. Mimi nacheza msimu mmoja nastaafu soka
Acha tu na huyo ni mwajiriwa 😂😂Aisee
Unataka kusema...? [emoji848][emoji848]Kwaiyo lionel Messi
Ndani ya sikU 11 za mwanzo,
Akiwa serious anaweza akaweka billion 20 Kwenye account ya Simba?[emoji848]
Yaani kazi ya mess ya nusu mwez tu anainunua simba na yanga au..?[emoji85]
Ha ha ha.....Yaani kazi ya mess ya nusu mwez tu anainunua simba na yanga au..?
Sent using Jamii Forums mobile app
MotionYaani kazi ya mess ya nusu mwez tu anainunua simba na yanga au..?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmhh cjui balance za account zao..Motion
Messi na mo dewji nani tajiri
Propose/oppose [emoji1][emoji1][emoji1]