Mishahara ya PSG ni kufuru

Mishahara ya PSG ni kufuru

Wakuu kuna kaandiko haka tukapitie tupate maarifa mengine.. ikiwezekana na kura tukapigie[emoji1313][emoji1313]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mshahara wa Messi kwa wiki sawa na Sh. Bilioni 1.95. Mimi nacheza msimu mmoja nastaafu soka
Mnajisahau kuna matumizi..tena makubwa sana..
..Ana familia..
..ana Sport Agent..
..Ana watu aliowaajiri lukuki kumsaidia majukumu tofauti tofauti (personal chef,Trainer, nk)..
..Real estates zake zinahitajika matunzo lukuki ...
..Ana charity programs..
Nb_Hela haijawahi kutosha...

Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
 
Mkuu hata hueleweki unachoongea. Yaani bilioni 4 kwa mwezi unaona kabsa ni hela ya kuishia KWENYE matumizi. Ni mtu gani ktk kada gani analipwa hizi hela.

Ungeongea swala la kodi ambayo kwa France nafikiri ni 50% ungeeleweka.
 
Pengine hukunielewa..
Point yangu nilikuwa ni kumjibu mdau aliyesema angefanya kwa mwaka tu kisha akaacha..
Nikatoa baadhi ya majukumu ya hao wanaolipwa hizo fedha kwa nini hawafanyi kwa mwaka mmoja tu kisha wakaacha..
Hii package inakuja na responsibility nyingi tu..Hujui mpaka watu wanalipana hivyo .
Na suala liko wazi mahitaji ya mwanadamu siku zote ni mengi ukilinganisha na rasilimali iliyopo..Na huongezeka anapopata zaidi..

Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
 
Kwaiyo lionel Messi
Ndani ya sikU 11 za mwanzo,

Akiwa serious anaweza akaweka billion 20 Kwenye account ya Simba?[emoji848]
Ndio mkuu,
🤣🤣🤣Sawa na Tsh 7,745,430 kwa SAA sawa na mshahara wa Mukoko Tonombe wa Yanga kwa Mwezi.🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mnajisahau kuna matumizi..tena makubwa sana..
..Ana familia..
..ana Sport Agent..
..Ana watu aliowaajiri lukuki kumsaidia majukumu tofauti tofauti (personal chef,Trainer, nk)..
..Real estates zake zinahitajika matunzo lukuki ...
..Ana charity programs..
Nb_Hela haijawahi kutosha...

Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
Pia tambua ana miradi kede kede na bonus na mikataba mingine kama yote. Noma ukipigia mpka maingzo yake nje ya mshahara wa club c ndio noma sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani lile shoka la portugal Danilo Pereira linapewa 35k na linapiga kazi balaa. Sio sawa.
 
Back
Top Bottom