Mishahara ya PSG ni kufuru

DeepPond

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2017
Posts
41,728
Reaction score
103,997
Hawa jamaa wanalipana mishahara kwa wiki.

Wataalam wa mahesabu njooni mtuambie kwa pesa zetu za kizalendo Ni Kama shilling ngapi?

Wataalam wa michezo njoo mtwambie tunafanyaje na sisi tufike huku?

 
Ukitoa kodi mwamba analamba Tsh. 80,259,555,900 kwa mwaka
Tsh . 6,688,296,326. Kwa mwezi
Tsh 1,672,074,075. Kwa wiki
Tsh. 238,867,725. Kwa siku
Tsh. 9,952,821. Kwa saaa
Tsh 165,880. Kwa dakika
Tsh. 2764. Kwa sekunde.

Kila sekunde mchizi anaingiza buku 2+
Kuna watu wanalipwa jamaπŸ€”πŸ€”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…