Vitu vya kijinga hapo ni messi au dewj..?Usimfananishe na vitu vya kijinga jinga
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nikiona hii mishahara wanayolipana ulaya,
Namkumbuka
mrisho ngassa aliekimbia majaribio mazoezini ulaya ili awahi mechi ya Simba &yanga[emoji23][emoji23]
Kwakweli,nmeamini UCHAWI UPO[emoji1787]
Je kama ana mzidi maaana mwamedi yupo above 1.5$bMwamedi[emoji23]
Mnajisahau kuna matumizi..tena makubwa sana..Mshahara wa Messi kwa wiki sawa na Sh. Bilioni 1.95. Mimi nacheza msimu mmoja nastaafu soka
Mkuu hata hueleweki unachoongea. Yaani bilioni 4 kwa mwezi unaona kabsa ni hela ya kuishia KWENYE matumizi. Ni mtu gani ktk kada gani analipwa hizi hela.Mnajisahau kuna matumizi..tena makubwa sana..
..Ana familia..
..ana Sport Agent..
..Ana watu aliowaajiri lukuki kumsaidia majukumu tofauti tofauti (personal chef,Trainer, nk)..
..Real estates zake zinahitajika matunzo lukuki ...
..Ana charity programs..
Nb_Hela haijawahi kutosha...
Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
Pengine hukunielewa..Mkuu hata hueleweki unachoongea. Yaani bilioni 4 kwa mwezi unaona kabsa ni hela ya kuishia KWENYE matumizi. Ni mtu gani ktk kada gani analipwa hizi hela.
Ungeongea swala la kodi ambayo kwa France nafikiri ni 50% ungeeleweka.
Msimu mzima ? Mimi sina makuu namaliza wiki yangu moja na kutundika daluga🤣Mshahara wa Messi kwa wiki sawa na Sh. Bilioni 1.95. Mimi nacheza msimu mmoja nastaafu soka
Ndio mkuu,Kwaiyo lionel Messi
Ndani ya sikU 11 za mwanzo,
Akiwa serious anaweza akaweka billion 20 Kwenye account ya Simba?[emoji848]
Hakika.. yaani mshahara wake wa mwezi hata mafisadi hawamkuti daah huko ndio dunianiMshahara wa Wiki wa Messi ,kwa huku kwetu tangu mtu anaanza kazi na miaka 24 hadi anastaafu kwa mujibu wa sheria miaka 60 haufikii.
Hakika.. yaani mshahara wake wa mwezi hata mafisadi hawamkuti daah huko ndio duniani
Sent using Jamii Forums mobile app
Noma saana tupo ulimwengu wa tatuAcha tu yaani kwa huku kwetu ukilipwa milioni 5 kwa mwezi utaufikia mshahara wa wiki wa messi baada ya kufanya kazi kwa miaka 36......The world is not fair.
Pia tambua ana miradi kede kede na bonus na mikataba mingine kama yote. Noma ukipigia mpka maingzo yake nje ya mshahara wa club c ndio noma sasaMnajisahau kuna matumizi..tena makubwa sana..
..Ana familia..
..ana Sport Agent..
..Ana watu aliowaajiri lukuki kumsaidia majukumu tofauti tofauti (personal chef,Trainer, nk)..
..Real estates zake zinahitajika matunzo lukuki ...
..Ana charity programs..
Nb_Hela haijawahi kutosha...
Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app