Mishahara ya viongozi wa Tanzania


Mimi najua hawa hawalipwi, wanajitolea tu! ila wana marupurupu tu. Kwani wanalipwa na nani? Malipo ni cash, cheque au through bank deposit? Kama ni bank deposit ni bank gani? Hapo tukifuata hadi tutakutana nayo hiyo mishahara yao.
 
kunae mambo ya kutaka kujua katika serikali ila sio mishahara, ikumbukwe kuwa mshahara ni siri ya mtu mahala popote. kwanini wewe usiweke wako hapa watu wakajua au mapato yako kwa mwezi.

tusifuatilie yasiyo tuhusu ila cha msingi tuhakikishe tunalipa kodi sawasawa na tunadai risiti ya efd pindi tununuapo chochote kusaidia serikali yetu kukusanya mapato.
 
Mshahara wa baba ako hujui unataka kujua mshahara wa kiongozi ili iweje?
 
hii post takuwa darasa la tatu saivi
 
Huu uzi wa kitambo asee.
Anayejua salary ya bb jesca adondoshe data hapa
 
Gavana Wa benki kuu, mabalozi nk
 
Swali zuri sana na nadhani Ikulu watakapo kamilisha site yao ni vizuri wakiziweka habari hizi wazi kwa wananchi kuziona... Waajiriwa wote wateuliwa na rais ni vizuri tukifahamu mishahara yao!
ina maana hadi leo ikulu hawana website Yao tu wanangoja nini
 
Kwa mujibu wa Mtandao wa MyWage Rais Magufuli wa Tanzania analipwa kama ifuatavyo.
Annual (Kwa Mwaka)Tzs.422,135,637.00. Monthly(Kwa Mwezi):Tzs. 35,178,053.00. Weekly(Kwa Wiki):Tzs 8,118,012.00. Daily(Kwa Siku):Tzs 1,156,539.00
Weka Link
 
je ni kweli Rais Magufuli ka reveal mshahara wake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…