Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 29,028
- 69,666
Ww n mpumbavuRais hana mshahara. Yeye kama yeye ni pesa na ndiyo maana hata taswira za marais huwekwa kwenye pesa. Utamlipaje mtu kwa pesa yake mwenyewe? Anakua tuu anahudumiwa kila kitu atakacho kiwe au kifanyike. Ukiona rais anajilimbikizia mali, basi huyo ni tamaa tuu ya mali. Kwanza mtu akishakuwa rais kamwe hawezi lala njaa au kupata sonona ya pesa mara baada ya ku staafu kwani mifumo iliyopo tuu inatambua ahudumiwe vipi hadi anaingia kaburini