Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 6,958
- 16,358
Bond ni nini?NATAFUTA MTAJI WAUNGWANA MWENYE MILION 3 HADI MILION 5 TUKABIZIANE KWA MAANDIKO NA KILA SIKU NIWE NAREJESHA ELF 40000 KWA MWAKA MZIMA KUTOKANA NA MKATABA UTAKAVYO SEMA.
#YNWA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bond ni nini?NATAFUTA MTAJI WAUNGWANA MWENYE MILION 3 HADI MILION 5 TUKABIZIANE KWA MAANDIKO NA KILA SIKU NIWE NAREJESHA ELF 40000 KWA MWAKA MZIMA KUTOKANA NA MKATABA UTAKAVYO SEMA.
Yaani....NAKUONYESHA NINAPO FANYIA BIASHARA NA PIA TUNAKABIZIANA KI MKATABA KAMA KUMPA DEREVA BAJAJI KISHA AKULEJESHEE PESA KILA SIKU.
Ukizima simu na usipatikane tena, itakuaje sasa?NAKUONYESHA NINAPO FANYIA BIASHARA NA PIA TUNAKABIZIANA KI MKATABA KAMA KUMPA DEREVA BAJAJI KISHA AKULEJESHEE PESA KILA SIKU.
Kwenye hela "NEVER TRUST ANYBODY"Biashara yangu ni yakuchoma nyama ya mbuzi ktk mabar na kununua vfaa twaenda wote kisha wapajua ninapofanyia biashara ili uwe na Imani pa kunipatia ni wapi.
Mzee wangu Nyerere mbona mnamuonea sana nyie walimwenguKwenye hela "NEVER TRUST ANYBODY"
Tafuta cha kuweka bond ndio uanzie hapo.
Mambo ya kuamini watu kwenye hela alikufa nayo Nyerere.
#YNWA
Nyerere ndiye chanzo cha matatizo yote na mbegu yake ya mti wa CCM alioupanda , imekuwa ni balaa kila mahaliMzee wangu Nyerere mbona mnamuonea sana nyie walimwengu
Hahaa nafikiri ni nadhalia nzuri kueleweka kwa maana ya mtu kuelewa kuwa sikuiz jambo/mambo hayapo kama miaka y nyuma.Mzee wangu Nyerere mbona mnamuonea sana nyie walimwengu
Sikumaanisha ubaya maana nilisema mtu anaweza nipa ndugu yake ama mtu anae mfahamu nikawa nae bega kwa bega ktk biashara ili tu kumpa amani yule atoae pesa moyo wa kuwa pesa yake ipo salama mpaka pale nitakapo maliza nae mkataba .. . ....nazani wengi wenu si watu wa kuelewa.Hahaa nafikiri ni nadhalia nzuri kueleweka kwa maana ya mtu kuelewa kuwa sikuiz jambo/mambo hayapo kama miaka y nyuma.
Mshahara wa rais n sir nzito na hiyo bajet mara nyingi haiwez kuwekwa waz kwasabab yey ndye amiri jesh mkuu na ndo kiongoz wa Tiss kama bajet ya Tiss tu wa kawaida haiwekwi waz wanawezaje wakaweka ya kiongoz wao n ngum sana kuijua labda upate taarifa kwa watu wa ikulu na viongoz wakubwa au kwake mwenyewKuna mtu anayejua mshahara wa raisi wa Tanzania ni kiasi gani?
Kuna mtu kaniambia ni $200,000 na kitu kwa mwaka...sikuamini lakini akanihakikishia kuwa taarifa zake ni za uhakika.
Bado ninasita kuamini ingawaje sina taarifa zozote na sijawahi kuona mahala popote pale kuhusu mshahara wa raisi.
Na mshahara wa makamu wa raisi..?
Waziri mkuu..?
Spika wa bunge..?
Mkuu wa majeshi ya ulinzi, polisi,magereza..?
Jaji mkuu..?
Kama kuna mtu anayejua...ni wapi tunaweza kupata taarifa hizi?
Sasa kwa nini mishahara ya viongozi wa mataifa makubwa inajulikana?Mshahara wa rais n sir nzito na hiyo bajet mara nyingi haiwez kuwekwa waz kwasabab yey ndye amiri jesh mkuu na ndo kiongoz wa Tiss kama bajet ya Tiss tu wa kawaida haiwekwi waz wanawezaje wakaweka ya kiongoz wao n ngum sana kuijua labda upate taarifa kwa watu wa ikulu na viongoz wakubwa au kwake mwenyew
Sasa kwa nini mishahara ya viongozi wa mataifa makubwa inajulikana?
Matumizi ya pesa za walipa kodi lazima yawe wazi!Kwanza mataifa yanatofautiana sera na katba sheria na kanuni lakn pili tayar yale n mataifa ambayo tunasema yanauchumi mkubwa yalishaendelea tayar inakua sio tatizo kuweka kila kitu waz lakn kwa nchi zetu za Africa nying n ngum kidgo kuweka waz kwasabab ndo zinaendelea inaweza kua shida kdgo iwapo wataweka waz pengne kama kutokua na aman daut kwa wananchi mfano ww leo hii unaskia rais anapokea 500mil kwa mwez na ww maisha yko unayajua mwenyew inawez isilete picha nzur kwa sura ya wananchi weng lakn mataifa makubwa hata wakisema ivyo washaendelea ko inaonekana kam kitu cha kawaida kwao... Sjui ntakua nimejbu swali lako kiongoz
Amezichukuwa kuzimu?Mwenda zake alikuwa anakula 220bilions kwa mwaka, we acha tu kuna watu wanaishi pepo ndogo na wengine majalalani
Kama ni USD200,000 ni kidogo kwa kazi risk kama ile.Kuna mtu anayejua mshahara wa raisi wa Tanzania ni kiasi gani?
Kuna mtu kaniambia ni $200,000 na kitu kwa mwaka...sikuamini lakini akanihakikishia kuwa taarifa zake ni za uhakika.
Bado ninasita kuamini ingawaje sina taarifa zozote na sijawahi kuona mahala popote pale kuhusu mshahara wa raisi.
Na mshahara wa makamu wa raisi..?
Waziri mkuu..?
Spika wa bunge..?
Mkuu wa majeshi ya ulinzi, polisi,magereza..?
Jaji mkuu..?
Kama kuna mtu anayejua...ni wapi tunaweza kupata taarifa hizi?
Acha ujinga wewe, mshahara wa Raisi sio siri na unajulikana wazi kabisaMshahara wa rais n sir nzito na hiyo bajet mara nyingi haiwez kuwekwa waz kwasabab yey ndye amiri jesh mkuu na ndo kiongoz wa Tiss kama bajet ya Tiss tu wa kawaida haiwekwi waz wanawezaje wakaweka ya kiongoz wao n ngum sana kuijua labda upate taarifa kwa watu wa ikulu na viongoz wakubwa au kwake mwenyew
Mshahara wa rais n sir nzito na hiyo bajet mara nyingi haiwez kuwekwa waz kwasabab yey ndye amiri jesh mkuu na ndo kiongoz wa Tiss kama bajet ya Tiss tu wa kawaida haiwekwi waz wanawezaje wakaweka ya kiongoz wao n ngum sana kuijua labda upate taarifa kwa watu wa ikulu na viongoz wakubwa au kwake mwenyew
VIJANA PENUENI MAWAZO, FANYENI KAZI ACHENI KUJADILI MISHAHARA YA WATU. NENDA KAFANYE KAZI UHESABU ZAKO.Kuna mtu anayejua mshahara wa raisi wa Tanzania ni kiasi gani?
Kuna mtu kaniambia ni $200,000 na kitu kwa mwaka...sikuamini lakini akanihakikishia kuwa taarifa zake ni za uhakika.
Bado ninasita kuamini ingawaje sina taarifa zozote na sijawahi kuona mahala popote pale kuhusu mshahara wa raisi.
Na mshahara wa makamu wa raisi..?
Waziri mkuu..?
Spika wa bunge..?
Mkuu wa majeshi ya ulinzi, polisi,magereza..?
Jaji mkuu..?
Kama kuna mtu anayejua...ni wapi tunaweza kupata taarifa hizi?
Wakati pesa yako ya Kodi inaliwa ovyo , ni fala Tu atakuwa Na mawazo Kama yakoVIJANA PENUENI MAWAZO, FANYENI KAZI ACHENI KUJADILI MISHAHARA YA WATU. NENDA KAFANYE KAZI UHESABU ZAKO.