Mishahara ya viongozi wa Tanzania

Kama ni kweli basi ndiye fisadi wa kwanza hii nchi ambaye haijali nchi yake
 
Kama huamini mshahara wa $200000, itakuaje hiyo mishahara ya watumishi wengine


Sent from my VFD 600 using JamiiForums mobile app
 
Waafrika huwa tuna matatizo sana, hata mshahara wa mzazi wako huwezi kuujua sembuse mshahara wa viongozi.

Waafrika tuna matatizo sana. Usiri wa waafrika unafanya matatizo mengi sana, ndio maana unakuta mzazi anapata mshahara Mkubwa lakini hakuna maendeleo yoyote.
 
Mshahara wa Rais wetu Japo hatuujui hauwezi ukawa Juu sana compared to other East African Presidents..Infact yeye ndo Anapokea Mdogo Kabisa according to sources kadhaaa nlizokutana nazo hapa na pale kwa Mfano unakuta top 20 ya Highest paid presidents wa Ishirini analipwa $18,000 that implies he receives less around $ 4000-$ 6000 pitia hapa for more info The highest and lowest paid African presidents
 
Ungeanza kuuliza mbunge wako anapokea ngapi na akistaafu anapokea ngapi na akirudi anapokea ngapi?
 
kwani hujui !! ndio sababu haongezi mishahara kwani anafikiri kila mtumishi ametosheka kama yeye !!
 
Ni kweli mkuu, Sio tu mishahara yapo mengi inabidi tuyajue na kuyafahamu kuhusu viongozi wanaotuongoza, kwa nchi kama marekani FBI wana taarifa za kina (detailed information) kuhusu viongozi wa ngazi za juu, na taarifa haziishii tu kwenye mishahara ni mpaka kwenye mali wanazomiliki na vyanzo vyao vya mapato.

Lakini hapa nchini sijajua kama unaweza kumchambua kiongozi na kujua taarifa zake, hapa ndipo unakuta tunapata viongozi ambao sio makini maana hatuna taarifa zao kamili.
 
Niliona hapa, kama sikosei kwenye topic moja kuhusu mkapa, mdau moja alisema mshahara wa rais ni $12,000 kwa mwezi.

Kama nimekosea naomba nirekebishwe
Kama ni kweli kuna shida, yaani rais wa Tanzania apokee pesa kwa dolari badala ya shilingi za ki-Tanzania. Hiyo si sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…