Mishahara ya wachezaji Simba SC msimu 2017/18 - Niyonzima kinara.

Unapo ulizia Yanga SC anza kuulizia Idadi ya Mataji, then unakuja kuulizia vinginevyo..?
Pia idadi ya 'ushiriki' katika ligi za klabu za Afrika, bila kusahau idadi ya magoli ya kufunga na kufungwa katika ligi hizo
 
Mtoa mada "demigod" ni mnazi wa kutupwa wa Yanga fc.

Huwa hazumgumzi kabisa habari mzuri za Simba sc.

Simwamini kama ana nia njema kuleta huu mchanganuo wa mishahara ya wachezaji wa Simba sc.

Hebu alete na mchanganuo wa timu yake pendwa Yanga fc

Kama ana nia njema.
 
Hivi watanzania tumefikia hatua ya kutoa siri za watu kiasi hiki, nijuavyo mshahara ni siri ya mwajiri na mwajiriwa, sasaleo kama mabo yako wazi hao wengine watajisikiaje, we unapokea 2.4 mwenzio 8.7 na wote mko first eleven. hebu tuachaneni na hii habari tutawavunja moyo wachezaji wetu pia ndo mwanzo wa kupenyeza chuki. Mwana Simba halisi
 
Ni kweli kabisa, hata waliotoa siri ya mshahara wa Neymar Jr ni wapuuzi, yaani anapokea pound 500k wakati wenzake wanapikea pound 50k. Sijajua hii tabia waTanzania wameitoa wapi?
 
Ni kweli kabisa, hata waliotoa siri ya mshahara wa Neymar Jr ni wapuuzi, yaani anapokea pound 500k wakati wenzake wanapikea pound 50k. Sijajua hii tabia waTanzania wameitoa wapi?

Mbona huku makazini mwetu mishahara haiwekwi wazi kwenye media kama hivi? Leo hii wakitokea watu wenye lengo la kuvuruga timu wanaweza kutumia kigezo kama hiki. Naomba wana SImba wenzangu tusijivue nguo kiasi hiki, tusimpe adui sababu ya kutushambulia.
 
Kama nilivyoeleza hapo juu, mtoa mada hana nia nzuri na Clabu ya Simba.

Mshahara ni Siri ya mwajiri na mwajiriwa.

Unauwekaje mshahara wa mtu hadharani bila ridhaa yake ?

Ametoa wapi ducomenti ya malipo ya wachezaji wa Simba sc.

Nia yake ilikuwa ninini ?

Kwa nini hajaweka mchanganuo wa malipo ya wachezaji wa Yanga fc

Haya ni matumizi mabaya ya mtandao

Huyo "demigod" anahusika pia kuwahonga akina Mzee Kilomoni na Bi Hindu ili kulela mgogora hapo Simba sc.

"demigod" hunamamlaka ya kuweka mtandaoni nyataka za siri za Simba sc

Kitendo ulichokifanya ni cha uharamia dhidi ya timu ya Simba sc.

Ipo siku utalipa hujuma zote unazoifanyia Simba sc

Pambana na Clabu yako ya Yanga fc.
 
Inasikitisha wabongo idadi kubwa wanapata mishahara ya kawaida tofauti na wageni tuvithamini vya kwetu hata kama sio star ukimotivate mtu kwa dau nono anaongeza jitihada zaidi
 
Kitu kingine muhimu mshahara ni jinsi unavyo negotiate ww kama umejichanga ukaona million 2 nyingi hiyo ni juu yako so wanaotoka mapovu eti kichuya analipwa kidogo yeye kama anaona ni nyingi inakuwaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona ulaya wanaweka waz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…