Mishahara ya wake zetu

 
mshahara wa mwanamke ni kuishia saluuni .
No way.
Mke si mchumba. Ana wajibu kwa familia yake lazima achangie pato la familia. Mchumba hana wajibu huo. Ukishaolewa/oa, mapato yote ya waliooana shurti yawe mali ya familia, otherwise mvunjiko mkubwa lazima utokee.
..na hata mkitoka sio ujionyeshe wwe ndio kidume kwa kulipia kila kitu...unaweza kumwambia unalipia chakula yeye alipie drinks.....
Hapo kwenye bold hapo.
Kwa mabinti wa siku hizi (CBE/IFM/Mabibo Hostel type) lazima akumwage. Cost sharing huwa inakera mabinti wengi, ingawa ni nzuri in a long term.

Nakubaliana na wewe kwa pointi hizi, ila uwazi usizidi sana, na wenyewe una gharama zake katika mahusiano.

Madame Sal,
Hala hala vidole na macho. Povu lote hilo hilo kisa mshahara tu? Share pato lako na mwandani wako.

Anadamka asubuhi kwenda kibaruani, anachelewa kurudi kibaruani sababu ya foleni afu nisiujue mshahara wake na unatumikaje?....... I better marry my mom!

Othetwise akae nyumbani anilelee wanangu.... PERIOD!
Teh teh teh. Hapo kwenye bold hapo
 

Nimependa mtizamo wako!
 

Hapo pekundu: Dah, hii silaha yao huwa inaniacha hoi kabisa yaani!!! sijui wanapasishana huko kwenye ma-kitchen party yako!
 
simuuliz mke wangu mshahara coz she is
da best house keeper and budgeter ever!
Hajawahi lalama nimempa pesa ndogo so it means mayb anaongeza na zake samtimes.

her name please??????
 
Changu ni chetu, chako ni chako. mkatae mkubali huo ndio ukweli, kutegemea utakiona kipato cha mwanamke sahau mpaka uingie kaburini, yaani utaombwa hata kiberiti cha tshs 50, mshahara wa mwanamke ni kusaidia ndugu zake, ukitaka ufahamu ukweli linganisha maisha ya mwanamme ambaye ameoa mfanyakazi na mwanamme ambaye hajaoa mfanyakazi maisha hutaona tofauti katika maisha.
 
simuuliz mke wangu mshahara coz she is
da best house keeper and budgeter ever!
Hajawahi lalama nimempa pesa ndogo so it means mayb anaongeza na zake samtimes.

Shabby, zake anazipata wapi? Do you know all her sources? LOL
 

haijanipain. Bye bye.
 
Kama ndio hivyo afadhali nioe asiye na kazi, ni jue moja. Inavyo onekana walio na wanawake wanao fanya kazi ni shida tupu hasa wanawake wakibongo. Na hili ndoo linalo sababisha mwanamake kufanya hata vitu visivyo na maana kwa kuwa huwezi kumfanya chochote ana pesa yake. Nikifikilia hili naogopa kuoa mwanamke aliye soma kwa sababu najua anakaujinga kalekale kanako zungumzwa hapa. think like men but act like a woman.
 

Mkuu nitafanya kautafiti kadogo nijue kama upo sahihi hapo kwa red!
 

Mkuu hapo kwa red unamaanisha hili tatizo lipo kwa wanawake wasomi tu?
 
Mie simuulizi mshahara wake ila ananinulia apendacho km shati, viatu n.k kwangu inatosha tu
 
Nawashangaa sana wanaume wanaulizia pesa/mishahara ya wake zao; hivi ulioa mke au pesa zake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…