Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba msaada wa kujua kiwango cha mshahara wa mkufunzi wa chuo cha ualimu kwa mtu wa kiwango cha shahada jamani hasa waalimu wapya waliopangiwa kazi mwaka huu
Asante sana...je unajua namna ya ku-omba kazi vyuoni? au huwa wanapangiwa tu moja kwa moja...
Hamna tofauti mshahara ni ule ule 589,000/=,
kwa vyuo vya serikali huwa wanapangiwa! Kwa vyuo vya sivate ndio wanaomba(apply)
ivi apo ukitoa makato yote, take home inabakia ngapi?..
vyuo vya sivate ndo vipi?
Hamna tofauti mshahara ni ule ule 589,000/=,
Jamani mm nimesoma bed nimepangiwa sek nitafanyaje na lengo langu nifundishe chuo.
Kwa sasa ni who knows u na si what u studied. Kuna jamaa yangu BA-ED kapelekwa chuo na ana GPA YA 2.1 Mimi nimesoma BED nina G.P.A upper second nimepelekwa sec. Uliza, julishwa, tafakari kisha amua.
Hivi kwa mkufunzi akiwa na master degree mshahara unaongezeka au nako kama local government tu master degree haina mshahara?
Sent from my SM-A015F using JamiiForums mobile app
Serikalin wao wanatambua degree tuHivi kwa mkufunzi akiwa na master degree mshahara unaongezeka au nako kama local government tu master degree haina mshahara?
Sent from my SM-A015F using JamiiForums mobile app