Mishahara ya wakufunzi wa vyuo vya ualimu ni tofauti na waalimu wa secondary?

Wasikutishe. Kwa kawaida Mkufunzi mwenye Bachelor Degree ambaye hufundisha chuo kikuu huitwa Tutorial assistant. Huyu mshahara wake hulipwa kutumia PUTS 1.1 kama sikosei, ambayo ni zaidi ya milioni moja na ushee.

Mwalimu wa sekondari mwenye degree, hulipwa TGS D. Ambayo kimsingi ni kama laki saba.

Allowances kwa mkufunzi wa chuo kikuu ni nyingi sana. Sijui kwa hizi collages mishahara yao huwa vipi. Pia sijui kwa vyuo visivyo vya serikali wanalipwa vipi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwl wa chuo ni wa chuo regardless what
 
Back
Top Bottom