Mishahara ya wakufunzi wa vyuo vya ualimu ni tofauti na waalimu wa secondary?

Kafanye kazi, usiangalie mshahara wa kuanzia, Mishahara huwa inabadirika sana tu na pengine ukajuta kwanini hujajiunga. Pia kuna tafiti wananfanya vyuo vingi vya elimu ya juu na zina pesa pengine zaidi ya mshahara, Ni bidii yako ya kazi na kujiendeleza kutafuta information.
 
Jamani mm nimesoma bed nimepangiwa sek nitafanyaje na lengo langu nifundishe chuo.
 
Kwa sasa ni who knows u na si what u studied. Kuna jamaa yangu BA-ED kapelekwa chuo na ana GPA YA 2.1 Mimi nimesoma BED nina G.P.A upper second nimepelekwa sec. Uliza, julishwa, tafakari kisha amua.
 
mwl mwenye degree anaanza na 589000 wakati mkufunzi wa degree anaanza na 769000. tofauti ndo hiyo na hapo bila makato
 
Kwa sasa ni who knows u na si what u studied. Kuna jamaa yangu BA-ED kapelekwa chuo na ana GPA YA 2.1 Mimi nimesoma BED nina G.P.A upper second nimepelekwa sec. Uliza, julishwa, tafakari kisha amua.

hahahahaaha
 
Hivi kwa mkufunzi akiwa na master degree mshahara unaongezeka au nako kama local government tu master degree haina mshahara?

Sent from my SM-A015F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…