Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mishahara yetu itakuwa laki ngapi, naomba kujua wakuu, nilianza kazi mwaka huu mwezi wa 3 na mshahara wa tsh 532,000 kwa mwezi
Hakuna mwenye majb! Let us weit today!
kwa level ya digrii itaongezeka 133000 hvyo itakuwa 665000
Mwalimu umesha-cover sylabus kulingana na "Scheme of work" yako mpaka mwezi juni?mishahara yetu itakuwa laki ngapi, naomba kujua wakuu, nilianza kazi mwaka huu mwezi wa 3 na mshahara wa tsh 532,000 kwa mwezi
kwa level ya digrii itaongezeka 133000 hvyo itakuwa 665000
Ngoja Baba wenye nyumba tujipange kwa mashambulizi. Mshale wa PAYEE ukikukosa tu wangu lazima utakupata tu.JE wakiwa wamepunguza PAYEE itakuwa ngapi mkuu
Ngoja Baba wenye nyumba tujipange kwa mashambulizi. Mshale wa PAYEE ukikukosa tu wangu lazima utakupata tu.
mishahara yetu itakuwa laki ngapi, naomba kujua wakuu, nilianza kazi mwaka huu mwezi wa 3 na mshahara wa tsh 532,000 kwa mwezi
Wangejua bora wasitangaze hadharani iwe kimya kimya watu huku nje tuone badiliko la misosi tu. Lakini wakitangaza tu ni sawa na kupokea simu ya NOKIA LUMIA eneo la manzese darajani.dili kwa agent aka madalali, ndio wa kwanza kuwapa ukweli malandlord
Nani ameshawahi kuona mtu anaota huku anatembea....kodi ikipungua, na posho ikawa japo %30 ya mshahara ambao hautakatwa kodi yyt itasaidia
kwa hiyi mshahara wangu wa 532,000 +30%+punguzo la kodi, na nyngeza rasmi ya mshahara katika hali ngumu hii ya maisha kama 80,000
=kuna uwezekano wa mshahara kuwa 830,600/= basic ikikatwa na CWT,NHIF na PAYEE sikosi 700,000
Nani ameshawahi kuona mtu anaota huku anatembea....
ngazi yako ya mshahara itakuwa tgts d/2 mara shule yako itakapofunguliwa muulizie mwalim wako mkuu akupe secular ndiyo itakayoonesha mshahara wako halisi pasina shaka. hiyo document inatolewa kila juni baada ya bajeti ya utumishi wa umma
mkuu we unajua kufikiri,watumishi wengi wa serikali mishahara haiwatoshi isipokuwa wana posho nyingi ndo maana wanahimili.Mwalimu hata alipwe milioni kwa level ya degree bado haitamtosha kama hakuna poshoooooooo!Waalimu msililie nyongeza ya mishahara asahv maana mishahara yenu mbna ni minono tu, la msingi kabisa ni kupigania muwe na posho au rashion mana walimu hamna njia nyngne za kujipatia chochte ktk mazingira ya kazi yn ni mshahara hd mshahara kwahyo posho au rashion ndo lamsingi zaid!