MISHAHARA YA WALIMU ITAKUWA SH NGAPI, anaejua plz

Yaani starting package ya mwalimu kubwa hivi? Aisee, nna mpango wa kusomea ualimu.
mishahara yetu itakuwa laki ngapi, naomba kujua wakuu, nilianza kazi mwaka huu mwezi wa 3 na mshahara wa tsh 532,000 kwa mwezi
 
mishahara yetu itakuwa laki ngapi, naomba kujua wakuu, nilianza kazi mwaka huu mwezi wa 3 na mshahara wa tsh 532,000 kwa mwezi
Mwalimu umesha-cover sylabus kulingana na "Scheme of work" yako mpaka mwezi juni?
 
mishahara yetu itakuwa laki ngapi, naomba kujua wakuu, nilianza kazi mwaka huu mwezi wa 3 na mshahara wa tsh 532,000 kwa mwezi

Wengi wenu mmejaza suit kwenye makabati yenu,wake zenu nao wamejaza masuit mengi mengi, Lakini mnadai na kudai na kudai.tehe tehe walimu wasioshikamana mtabaki kusikilizia Bunge tu na hatimaye nyongeza ya 20,000/= mkibisha mnapigwa biti "ambaye hataenda kazini amejifukuzisha kazi"
 
dili kwa agent aka madalali, ndio wa kwanza kuwapa ukweli malandlord
Wangejua bora wasitangaze hadharani iwe kimya kimya watu huku nje tuone badiliko la misosi tu. Lakini wakitangaza tu ni sawa na kupokea simu ya NOKIA LUMIA eneo la manzese darajani.
 
we subiri nyongeza ya elf 40000 mpaka 50000 kwenye take home yako.cku mkifanikiwa kugoma japo cku tano ndo serikali itastuka.kwa ss sidhani kwa rerikali hii ya jakaya.
 
Nani ameshawahi kuona mtu anaota huku anatembea....
 
na mwaka huu mtachora chini kwa goti walahi!
 
Ualimu kazi ya kujitolea unachopata ridhika nacho chapa kazi kusaidia watoto wa wakulima, ila jitahidi kutenga mda wa kufanya shughuli zako binafsi, mi mwenyewe tcha nilishaacha kulilia mshahara nahangaika na maswala yangu baada ya kutoka pindi
 
Inategemea Uko daraja gani. Serikali imefuta waraka wa mishahara wa mwaka2002; na madaraja yamekua hivi:
Aliye TGTSB sasa wanapelekwa D
C-F; D-F nk sasa Mwl wa grade A ataanzia TGTS D. Hayo ndo marekebisho. Kuna walimu zaidi 81;000 walikua wamefikia Bar yaani tgts E sasa wanapelekwa G
 
ngazi yako ya mshahara itakuwa tgts d/2 mara shule yako itakapofunguliwa muulizie mwalim wako mkuu akupe secular ndiyo itakayoonesha mshahara wako halisi pasina shaka. hiyo document inatolewa kila juni baada ya bajeti ya utumishi wa umma
 
hiyo doc itatupwa humu mapemaaaaaaaaaaa unachezea jf wewe?
 
mkuu we unajua kufikiri,watumishi wengi wa serikali mishahara haiwatoshi isipokuwa wana posho nyingi ndo maana wanahimili.Mwalimu hata alipwe milioni kwa level ya degree bado haitamtosha kama hakuna poshoooooooo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…