Mishahara ya walimu mwezi huu vipi jamani?

Ivi bado mnaenda kazini?duh waalimu mnaniangusha mpaka tarehe ya leo hamjalipwa na mnafanya kazi embu jaribuni kukaa nyumbani kama hamtolipwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…