Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha sie tulishazoea tarehe 2,3 powa tu
Mshahara hakuna leo meimosi sasa hii sherehe ya nani duh majanga
Tofautisha kupandishwa cheo na hicho unachokizugumza, sio salary iongezeke tu, itakuwa ivo kama utapandishwa cheo this time na si vinginevyoahsante kwa dharau zako mkuu...the thing is it happens sometimes for salary grades to be upgraded in april...but the actual salary uplifting will occur in incremental month of july...hiyo miezi miwili watu hudai arrears..
baadhi ya halmashauri hutoa hizi records soon mzigo ukitoka april....
ASANTE KWA KUNIJUZA MIMI UJINGA WANGU WA KUNG'ANG'ANIA CHAKI pasi na kufuatilia lolote jingine la maana
we ---- hyo writing error inakusumbua nn???? U so ----ed.......
Majanga haya wamekula bata na kulipana posho nono kwenye sherehe za miaka hamsini ya muungano tabu tanapata ss..... Mungu awachome moto kabisa siku ya kiama.......
niwashukuru halimashaur yetu wameshaachia,polen wadau
wafeli kwa writing error ya jamii forums na keyboard ya sim yangu, acha ulimbukeni we ngedere.......
Halmashauri za jiji la mbeya hakuna mtumishi aliyepata mshahara hadi leo tar 04/04/2014.
Mie nipo Kyela huku, yaani mshahara haieleweki ni lini na mambo yanazidi kuwa taiti.
Wlimu tumezoea kupata salary tar 25 mpaka 27 ya mwezi, but mwezi huu mpaka leo 28 kesho 29 bado migodi mikavu kulikoni???? Kuna latest nimeipata kwa jamaa yangu toka babati eti kuna process inafanyika kuongeza mzigo ( mshahara kuingezeka). Namuuliza afisa utumishi wangu ananambia bado hatafedha hazijatimwa wilayani. Kulikoni????? Mtujuze wenye latest tafadhali...........
Pole Asee Ndugu,mimi Mungu Amenisaidia Nimepewa Mshahara Na Ela Yote Ya Kujikimu
Hongera aisee, upo halmashauri gani?
Serengeti Mkuu