Mishahara ya walimu mwezi huu vipi jamani?

Mishahara ya walimu mwezi huu vipi jamani?

Hyo ya hazna tu bank acount ni nzuri naamini,kwanza itasaidia mambo ya kuwekewa stop pay za kijinga na watu wa halmashaur pia uwiziwa salary ,na nahs utawah kutoka mana hazna process huanza tar 15 watu wa halmashaur hujizungusha mpaka kuchewa
 
Nyie check namba tayar maana mimi jana nilienda kuulizia halmashaur nimeambiwa tumeingizwa kwenye paylaw ila bado check number

Mmh! Ukishatokea kwenye payroll inamaana na check number tayari inatoka.Kifupi c/no ndio utambulisho wako kwenye payroll kwani majina mnaweza kufanana hata watu mia
 
lakini si ushaelewa acha mbwembwe kijana

Mbwembwe ziko wapi sasa hapo!!!??... by the way kwangu wewe ni bwana mdogo sana.. angalia hayo maneno unayotumia (eti kijana) ..pathetic
 
Kitu tayari wengi tumepata leo ingawa mpunga hautoshi!!
 
Jamen salary si inaekwa bank, au kuna wengine wanapewa kwa mpesa?
 
Mbwembwe ziko wapi sasa hapo!!!??... by the way kwangu wewe ni bwana mdogo sana.. angalia hayo maneno unayotumia (eti kijana) ..pathetic

mkubwa kwangu ni Mungu Tu Acha Mikwara Kijana.
 
Dah! naona daliki yakupitishwa mwezi hapa sababu ajira mpya tayari kitu kimeshatoka tangu jana na sisi hakuna taarifa yeyote!,
kama kuna mwenye taarifa au maelezo tafadhali tujulishe ili tujue tunajipangaje maana life hii sio mchezo.
 
Back
Top Bottom