Mishahara ya walimu mwezi huu vipi jamani?

kama wewe ni mwalimu mpya tunaomba radhi. System zetu zimeharibika. Tumeagiza system mpya south africa. Nahisi ndani ya wiki mbili kuanzia leo 29april wale ajira mpya watakuwa tayari kupata mishahara yao.

mmmmmmmh!! Tutakuja kula wako !!!
 
sherehe za muungano na Bunge maalum la katiba limekula fedha zenu...Na kwa Taarifa rasmi kutoka jikoni Mwaka huu hakuna nyongeza wa chochote kwani serikali ipo ICU na deni la Taifa limefikia 40Trilion na kwa lugha raisi ni kua serikali ya CCM haikopesheki sio nje hadi ndani ya nchi
 
Watanzania tujifunze kuwekeza cyo kutegemea mshahara pekee ! Kuna mambo tunayafanyia kazi kwenye mfumo wa ulipaji mishahara hivyo vuteni subra kidogo! Kufikia jumatano mambo yatakua sawa

Uzuri wa mshahara wa serikali wewe huujui? Ni hela ambayo hata huifanyii kazi
 
Sio walimu tu hata sie wa kada zingine bado. Ila kwa tetesi nilizosikia ni kwamba utaratibu wa mishahara umebadilika na kwa utaratibu mpya kwa jinsi nilizosikia ni kwamba mishahara itakuwa inalipwa kutoka hazina kwenda bank account za watumishi moja kwa moja.
 
Kumbe eeeenh! Hazina wanataka kuendelea kujimegulia kiulainiiii.....!!
 
Sio walimu tu hata sie wa kada zingine bado. Ila kwa tetesi nilizosikia ni kwamba utaratibu wa mishahara umebadilika na kwa utaratibu mpya kwa jinsi nilizosikia ni kwamba mishahara itakuwa inalipwa kutoka hazina kwenda bank account za watumishi moja kwa moja.

nami nimesikia ivo mkuu
 
Back
Top Bottom