Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 28,259
- 41,416
Jameni si nshakuambia mi naenda kaanan mbon unataka kunirudisha misri teh...
Ina maana siku hizi hata yale makitu ya kusuuza roho hupendi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jameni si nshakuambia mi naenda kaanan mbon unataka kunirudisha misri teh...
Atakufundisha masai dada
Mimi mwingine, nishaenda sana hata sahv nimetokea huko...Ina maana siku hizi hata yale makitu ya kusuuza roho hupendi?
Mimi mwingine, nishaenda sana hata sahv nimetokea huko...
hahahaah evelyn salt
IKIEZEKANA KIKOMBE HICHI KINIEPUKE
nakirudisha kwako kama kilivyo
nan kikombe?kaone
mmmmmmmh!! Tutakuja kula wako !!!
Nyie check namba tayar maana mimi jana nilienda kuulizia halmashaur nimeambiwa tumeingizwa kwenye paylaw ila bado check number
ni payroll mwalimu sio paylaw...doh
Nyie check namba tayar maana mimi jana nilienda kuulizia halmashaur nimeambiwa tumeingizwa kwenye paylaw ila bado check number
lakini si ushaelewa acha mbwembwe kijana
Mbwembwe ziko wapi sasa hapo!!!??... by the way kwangu wewe ni bwana mdogo sana.. angalia hayo maneno unayotumia (eti kijana) ..pathetic