Mishahara ya walimu mwezi huu vipi jamani?

Mishahara ya walimu mwezi huu vipi jamani?

ahsante kwa dharau zako mkuu...the thing is it happens sometimes for salary grades to be upgraded in april...but the actual salary uplifting will occur in incremental month of july...hiyo miezi miwili watu hudai arrears..
baadhi ya halmashauri hutoa hizi records soon mzigo ukitoka april....
ASANTE KWA KUNIJUZA MIMI UJINGA WANGU WA KUNG'ANG'ANIA CHAKI pasi na kufuatilia lolote jingine la maana
Tofautisha kupandishwa cheo na hicho unachokizugumza, sio salary iongezeke tu, itakuwa ivo kama utapandishwa cheo this time na si vinginevyo
 
Majanga haya wamekula bata na kulipana posho nono kwenye sherehe za miaka hamsini ya muungano tabu tanapata ss..... Mungu awachome moto kabisa siku ya kiama.......

Afadhali hawa wanaandikia kuna watu wanajikopesha mamilioni ya ruzuku hwaandiki mahali kokote.
 
niwashukuru halimashaur yetu wameshaachia,polen wadau

Ukiona hivo ukue halmashauri ilikuwa na akiba fulani au wamechakachuwa hela ya barabara afu watakuja kuirudisha
 
Halmashauri za jiji la mbeya hakuna mtumishi aliyepata mshahara hadi leo tar 04/04/2014.
 
Halmashauri za jiji la mbeya hakuna mtumishi aliyepata mshahara hadi leo tar 04/04/2014.

Mie nipo Kyela huku, yaani mshahara haieleweki ni lini na mambo yanazidi kuwa taiti.
 
Mie nipo Kyela huku, yaani mshahara haieleweki ni lini na mambo yanazidi kuwa taiti.

Pole Asee Ndugu,mimi Mungu Amenisaidia Nimepewa Mshahara Na Ela Yote Ya Kujikimu
 
Wlimu tumezoea kupata salary tar 25 mpaka 27 ya mwezi, but mwezi huu mpaka leo 28 kesho 29 bado migodi mikavu kulikoni???? Kuna latest nimeipata kwa jamaa yangu toka babati eti kuna process inafanyika kuongeza mzigo ( mshahara kuingezeka). Namuuliza afisa utumishi wangu ananambia bado hatafedha hazijatimwa wilayani. Kulikoni????? Mtujuze wenye latest tafadhali...........

Acha kuishi kwa kukariri! hii ni TZ bana siasa kwanza uchumi baadae! hiyo nyongeza ya katkat ya mwaka wapi na wapi! ni julai tu!!!
 
Back
Top Bottom