Mishahara ya walimu

fungua hapa anza kwenye TGTS "A na B" ni za walimu wa msingi.

kwa kuwa ulitaka msingi ujue pia sekondary ambao dip na degree wanaanza na c++

mwalimu cheti(gradeA) anaanza na tgts b. Diploma tgts c na shahada tgts d kwenye mshahara haulipwi kwa kuangalia mwalmu wa msing wala sec. Au wa chuo cha ualimu ila mshahara unalpwa kutokana na ngaz ya elimu kwan wapo walmu wana shahada hata masterz lakin wanafundisha shule za msing sasa utaniambia hao wanalipwa tgts b. Yaani 277000/=??
 
Hii maada ya leo naona hainifai kabisa naona tu nipite maana watu wamekosa vitu vya kupost
 
we ni mwl then hujui mshahara wako? au mtoto wako ndo mwl unahisi anakusalit kweny cash? coz hailet logic kuulizia salary.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…