Mipale Steve
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 384
- 43
fungua hapa anza kwenye TGTS "A na B" ni za walimu wa msingi.
kwa kuwa ulitaka msingi ujue pia sekondary ambao dip na degree wanaanza na c++
mwalimu cheti(gradeA) anaanza na tgts b. Diploma tgts c na shahada tgts d kwenye mshahara haulipwi kwa kuangalia mwalmu wa msing wala sec. Au wa chuo cha ualimu ila mshahara unalpwa kutokana na ngaz ya elimu kwan wapo walmu wana shahada hata masterz lakin wanafundisha shule za msing sasa utaniambia hao wanalipwa tgts b. Yaani 277000/=??