jomaty
Member
- May 9, 2015
- 36
- 5
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani ni babaake mzazi au ndo zile zima zima taa
Yule demu anapenda sana kuishi fake life, now anaishi karibu na mlimani cityGorofa lake bado halijaisha?
-Ndumilakuwili-
Demu huyo anapenda sana kuishi fake lifeDiva the boss alihojiwa akasema analipia apartment tsh 2,000,000/- kwa mwezi, kwa mshahara gani?
Milioni 10 kwa mwezi au?!!!
Ni mzaziKwani ni babaake mzazi au ndo zile zima zima taa
baba mzaziKwani ni babaake mzazi au ndo zile zima zima taa
mwenzako anapapuchi akichacha inaingiza pesa na wanarushaga matangazo kidesign kwenye vipindi vyao wanapewa pesa mkoniniDiva the boss alihojiwa akasema analipia apartment tsh 2,000,000/- kwa mwezi, kwa mshahara gani?
Milioni 10 kwa mwezi au?!!!
Baba yake ni Dioniz Malinzi sio Jamali Malinzi(TFF)baba mzazi
mshahara wake ni laki 8.5 take home...chanzo chake kikubwa cha kipato kwa hadhi ya kuwa tu mfanyakazi wa clouds ni kiuno. hawa mastaa wa kike huko chini pamechoka ukifunuliwa huwezi amini maana wanazungusha viuno si chini ya mara 40 kwa wiki...show times, mara serena, mara grand villa, mara bwana mwingine amuite masaki n.k.
WANAUME WA DAR WALA PIPI NA ASHIKRIMU MAWAZO YAO KIPIPIPIHuwa nashangazwa post kama hii inapoletwa na mtoto wa kiume..,,,,!!!
Huwa najiuliza hivi anakuwa kweli hali gani kimawazo...!!?
Yaani kabisa mwanaume mwenye majukumu yako....unawezaje kuhangaishwa akili na jambo kama hili....!!!?
BTW
ITS A FREE WORLD.......
mshahara wake ni laki 8.5 take home...chanzo chake kikubwa cha kipato kwa hadhi ya kuwa tu mfanyakazi wa clouds ni kiuno. hawa mastaa wa kike huko chini pamechoka ukifunuliwa huwezi amini maana wanazungusha viuno si chini ya mara 40 kwa wiki...show times, mara serena, mara grand villa, mara bwana mwingine amuite masaki n.k.
Bora uliondoka maana angekuganda mpaka ujuteKuna siku nilikua pale 777 club wakati huo ndo nimetoka darfull mission, nikakutana uso kwa uso na Aunt Ezekiel.... Nikajiuliza hivi huyu nikimtandika na $ 500 atachomoa kweli??? Baadae nikaamua kuondoka zangu tu kurudi home
Kwani lazima alipe na mshahara? Wenzio wanatembea na Migodi yao.Diva the boss alihojiwa akasema analipia apartment tsh 2,000,000/- kwa mwezi, kwa mshahara gani?
Milioni 10 kwa mwezi au?!!!
Jamali malinz ni mhaya diva ni msambaa wap na wapi hata din zao ni tofaut sana malinz ni mvaa pedo diva ni mvaa rozarBABA YAKE NI RAISI WA TFF JAMAL MALINZI SASA ATAKOSAJE KULIPA HELA HIYO
Ni muhenga