Mishangazi siku hizi haitoi hela, usikamie sana

Mishangazi siku hizi haitoi hela, usikamie sana

and 300

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
26,398
Reaction score
36,406
Tahadhari Tu kwa vijana. Usikamie sana mechi Kwa Lishangazi ukidhani atakupa hela. Hali mbaya. Usijichoshe.

Tahadhari Tu kwa vijana. Usikamie sana mechi Kwa Lishangazi ukidhani atakupa hela. Hali mbaya. Usijichoshe.
usipotoshe fanya utafiti kwanza unaweza kuta unatoka na shangingi unasema shangazi mm juzi tu nimepewa 2mil ya mtaji na nimehakikisha anamwaga mpk mayai yake yote. Wahuni nawasihi tukomae na mashangazi tutafute mitaji
 
Back
Top Bottom