Mishe za mjini

Mishe za mjini

Riox

New Member
Joined
Mar 19, 2021
Posts
3
Reaction score
6
wakuu natamani nikimaliza form six hapo mwezi wa tano nitafute kitu cha kufanya ili niingize hela mpaka ntapoenda chuo....nisaidieni wakuu wangu kama kuna mahali naweza fit....i can do alot(multipurpose,smart,creative,hardworking)
 
Kusanya takataka
 
Creative yet to creat a job to do
 
wakuu natamani nikimaliza form six hapo mwezi wa tano nitafute kitu cha kufanya ili niingize hela mpaka ntapoenda chuo....nisaidieni wakuu wangu kama kuna mahali naweza fit....i can do alot(multipurpose,smart,creative,hardworking)
Peleka cm kwa mwalimu wa malezi, after that ingia darasani soma, usiharakie maisha sana, ukimaliza iyo advance ndo utajua cha kufnya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fungua tuition karibu na shule ya kata. Utapiga sana hela. Hasa masomo ya sayansi na hisabati.
 
Back
Top Bottom